preloder

MUDA HUU

KIFUATACHO

KURUNZI YA MLIMANI

BAADAE

KEKI YA TAIFA

Dunia

DuniaDuara

……………………………………………………………………………………………………………………………. Pata habari za kitaifa, kimataifa, michezo & burudani kupitia dunia duara ya Mlimani TV kila jumatatu hadi ijumaa saa moja na nusu usiku na kurudiwa saa tatu na nusu usiku. Mlimani TV Elimu Kwanza

USIKOSE

Mlimani Beats

Usikose kipindi cha Mlimani Beats (Interview) kila ijumaa saa kumi na moja jioni kwa habari za burudani, muziki na mahojiano ya wasanii.

Kurunzi Ya Mlimani

Usikose Kurunzi ya Mlimani kwa mijadala ya kisiasa inayomulika afrika na duniani kote kila Alhamisi 20:30 – 21:30 Hrs Usiku

Keki Ya Taifa

Kwa mijadala ya kiuchumi na wataalamu wa sekta hiyo pamoja na wajasiliamali usikose kuangalia Keki ya taifa kila Jumatatu 20:30 – 21:30 Hrs Usiku